Drops
Droplets
Scripts
Languages
Blog
Kahoot!
Business
Gift Drops
Home
/
Swahili to American English
/
Ongea kuhusu wakati
Words for "Ongea kuhusu wakati" in American English
Learn the most common words for "Ongea kuhusu wakati" in American English. Click on a word for more information and translations.
Swahili
American English
ni saa ngapi?
What time is it?
Saa ngapi?
At what time?
Itakuwa saa 2.30 asubuhi.
It's at 8.30 am.
Siku yako ya kuzaliwa ni lini?
When is your birthday?
Siku yangu ya kuzaliwa ni tarehe 21, mwezi Mei.
My birthday is on May 21st.
Je, itachukua muda gani?
How long does it take?
Inachukua muda wa saa 3 na dakika 55.
It takes 3 hours and 55 minutes.
ni saa 9 kamili adhuhuri.
It's 3 o'clock.
Kila Jumatatu hufanya mazoezi ya kukimbia.
I go running on Mondays.
Wiki hii nafanya kazi.
I am working this week.
Kila mwezi nakutana na wazazi wangu.
I see my parents every month.
Naenda Italia mwezi wa Agosti mwaka huu.
I am going to Italy this year in August.
Leo ni tarehe 3 Agosti ,2016.
Today is August 3, 2016.
Related topics
Siku za wiki
Miezi ya mwaka
Kutathmini muda
Sehemu ya siku